• archmwanza@gmail.com
  • +255 769 523 036

Homilia ya Askofu Mkuu Tarehe 14/10/2024

Homilia ya Askofu Mkuu Tarehe 14/10/2024

Posted on: 15 Oct, 2024

Homilia ya Askofu Mkuu Nkwande Kumbukumbu ya Nyerere Tarehe 14 Oktoba 2024

Homilia ya Askofu Mkuu Renatus Nkwande Tarehe 14 Oktoba 2024 ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan   alishiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbulizi ya Hayati Julius Kambarage Nyerere, iliyofanyika katika Kanisa la Mt. Francis Xavier Nyakahoja, Jijini Mwanza.

Ibada hiyo, ilihudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Kitaifa akiwemo Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko


Share This


Comments (0)

No Comment Found

Post Your Comment